HABARI MUHIMU KATIKA HUDUMA

 

 

HUDUMA YA RHEMA OUTREACH MINISTRIES INAWATANGAZIA WATU WOTE KUWA KUTAKUWA NA HUDUMA YA SHULE YA UPONYAJI TANGU TAREHE 31.05.2012 HADI TAREHE 03.05.2012

WOTE MNAKARIBISHWA. LETE WAGONJWA NA WENYE UHITAJI WAFUNDISHWE NA KUOMBEWA.

 

 

WALE WOTE WANAOSIKIA WITO WA KUMTUMIKIA MUNGU KATIKA PROGRAM YA VCP (VILLAGE CHURCH PLANTING) WAENDELEE KUJIANDIKISHA NA WATAPEWA MAELEKEZO ZAIDI.

PATAKUWA NA KONGAMANO LA MAOMBI LA KIPO LITAKALOFANYIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA KUANZIA TAREHE 12 HADI 16/06/2012 WOTE MNAKARIBISHWA

 

 

 

 

 

RUDI UKURASA WA KWANZA

RUDI MWANZO WA UKURASA HUU