"UNA MAOMBI YA KUOMBEWA?"

Tafadhali fuatila orodha ya maombi haya na kuomba nasi kila siku.

Tafadhali jaribu kufuatilia maombi haya na kuomba nasi mwaka mzima.

Je una maombi unahitaji tusaidiane kuomba?. Tafadhali orodhesha mambo unayotaka tushirikiane kukuombea na kuyatuma kwetu. Kumbuka kututumia ushuhuda wa nini Mungu amekufanyia, ili tumtukuze Mungu pamoja kwa kujibu maombi yako lakini pia yapate kuimarisha imani ya wengine.

Tumia moja ya mawasiliano yetu yaliyo hapa.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

RUDI UKURASA WA KWANZA

RUDI MWANZO