"MAOMBI TUNAYOOMBA SASA"

TAREHE   MAOMBI YA KUOMBA VIPENGELE KATIKA MAOMBI
20.12.2010 1. Mshukuru Mungu vile alivyokuwa nasi 2010 katika maisha yetu binafsi na huduma. Zaburi 106:1-2
  2.
  1. Mwite Mungu tena kwa ajili ya mwaka 2011 ulio mbele yetu atutangulie.
 
  a) Upenyo mkubwa kwa ajili ya maisha yetu ya kiroho, huduma, familia na mipango tuliyonayo mwaka 2011. Zaburi 37:5-6
  b) Omba Mungu atusaidie kutulia na kuacha maangaiko ya maisha. Isaya 30:15
  c) Omba Mungu atusaidie kuweka vipaumbele vya kiroho katika mwaka huo. Mungu apate nafasi ya kwanza katika kila eneo. Mathayo 6:33
  3.a) Jiombee binafsi Mungu akusaidie kufanya maamuzi ya kudumu ya kukua kiroho. 1 Petro 3:18
  b) Jiombee binafsi Mungu akusaidie kusonga mbele katika maisha yako ya wokovu bila kujali kitu chochote kibaya au kizuri kilicho mbele yako. Warumi 8:35-37
       
02.01.2011 1a.) Endelea kumshukuru Mungu kwa fadhili zake nyingi. Zaburi 124
  b.) Endelea kukabidhi maisha yako, huduma, familia, kanisa, taifa kwa Bwana katika mwaka 2011 na kumsihi akuongoze katika makusudi yake yote. Zaburi 37:5
  2a.) Ombea huduma ya Unity Christian Fellowship (UCF) pamoja na maisha yako, ufufuo kwa yaliyokufa Ufunuo 3:1-3; Wagalatia 3:3-4; Wagalatia 5:7-9; Habakuki 3:26.
  b.) Jiombee kumpenda Mungu sawasawa na.......................................................................> Marko 12:30
  3.) Ombea Taifa letu sawa sawa na......................> Mithali 21:1; Isaya 62:1
  a.) Waombaji nguvu na mzigo mpya kwa ajili ya Tanzania.  
  b.) Ubadilishaji wa katiba usilete madhara kwa watanzania bali, Bwana asababishe kila badiliko alitakalo kwa amani, kwa ajili ya watanzania.  
  C.) Ombea washauri wa rais na vyombo vya dola vishikwe na Mungu na avimilikishe na kuwamilikisha.  
     
18.07.2011 1.
  1. Tubu kwa ajili ya maovu mali mbali yaliyotendeka katika mkoa wa Kagera.
 
  a)
  1. Umwagaji wa damu isiyo na hatia.
 
  b)
  1. Tamaa, ukabila, maisha ya anasa , uzinzi na uasherati.
 
  c)
  1. Kuabudu miungu, uchawi , na shirikina
 
       
  2. Ombea roho ya toba na kuombea  kumgeukia Mungu katika mkoa wetu kwa ajili ya machukizo yote kwa Mungu Yohana 3:1-10
       
  3.
  1. Tubu kwa ajili ya wachungaji kwa dhambi ya kupoteza  mahusiano na familia zao na upofu wa kutokuona dhambi huku wakijifanya kuwa wapakwa mafuta wa Bwana.
 
       
  4a
  1. Omba Mungu ainue watu wake waaminifu . taasisi na makampuni watakao fungua miradi ya uzalishaji ili kuinua uchami wa mkoa wetu.
 
  b) Vunja hila za udini zinazoweka vizuizi na vikwazo kwa wawekezaji wenye nia nzuri na hivyo kuwafanya wakate tamaa.  
     
  5
  1. Ombea ufufuo wa mazao ya asili yaliyokufa na hatimaye kupotea kama vile  :- Matunda na mazao  ya asili mf Amasoma, Enshoro Miti n.k  Samaki wa aina mbali mbali na mifugo aina mbali mbali. Migomba ya asili na nafaka mbali  mbali kama Kunde , Njugu , Karanga n.k
 
       
  6 Vunja na kung’oa roho ya uislamu na uislamu wenyewe na kuufisha kabisa kabisa katika mkoa wetu, usisikike wala kupata kibali kwa wenyeji kabisa. Yer 1:10
       
  7
  1. Vunja mtandao wa  udini ambao umegubika nchi katika Idara, Nyanja na, sekta zote kwa kupandiza maajenti wao kama wafanyakazi ili wautetee na kuuimarisha huku wakibomoa imani nyingine (Ukristo)
 
     
       
       

Maombi hayo hapo juu ni ya kuliombea kanisa ( yaani watu wote waliookoka) katika mji wa Bukoba, Kagera na Tanzania kwa ujumla wake. Ebu husika katika kufunga na kuomba kwa ajili ya mwili wa Kristo.

Page 1| 2|3

 

RUDI UKURASA WA KWANZA

RUDI MWANZO WA UKURASA HUU