UONGOZI WA HUDUMA:

Huduma hii ina uongozi wake ambao unahusisha viongozi Wakuu wa idara mbalimbali na viongozi wa mitaa. Kiongozi mkuu wa huduma hii ni ndugu Johannes Kasimbazi ambaye anashirikiana na timu ya viongozi kumi na nne kutoka katika mitaa mbali mbali. Kiongozi wa huduma hii anasaidiwa na Ndugu Stephen Rulema pamoja na Bi Frida Samweli

S/NO MTAA KIONGOZI
1 Mjini kati na Uswahilini Bibi Jaqualine Kichwabuta
2 Magoti Bibi. Florence Kasimbazi
3 Mtaa wa wanafunzi Bw. Peter Cosmas
4 Kashai Matopeni Bibi. Asimwe Kyaruzi Coelestine
5 Kashai Mafumbo Bi. Jane Kataraiya
6 Majengo mapya na National Housing Bi. Frida Samwel
7 Buyekera/Kashura Bibi. Judia Mbehikya
8 Migera/Hamugembe Bw. Johannes Kasimbazi
9 Nyakanyasi Bi. Dorothy Kabyemela
10 Mtaa wa jioni kwa wenye shughuli nyingi mchana (Wafanya biashara) Bw. Peter Muganyizi
11 Miembeni Bibi. Lawrencia Malima
12 Kashai Halisi Bw. Erick Kalugendo/Bi. Filomena Kaijage
13 Kyegolomola Bw. Godfrey Malima
14 Kemondo Bw. Stephen Rulema

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

RUDI UKURASA WA KWANZA

RUDI MWANZO WA UKURASA HUU